Song Lyrics From Around The World

       Home | 0-9 | A | B | C | D | E | F | G | H | I | J | K | L | M | N | O | P | Q | R | S | T | U | V | W | X | Y | Z | Soundtracks | Christmas |


What song will you find on Lyrics Playground today?

MALAIKA Miriam Makeba Malaika, nakupenda Malaika. Malaika, nakupenda Malaika. Nami nifanyeje, kijana mwenzio, Ningekuoa Malaika. . Nashindwa na mali sina, we, Ningekuoa Malaika. Pesa zasumbua roho yangu Pesa zasumbua roho yangu Nami nifanyeje, kijana mwenzio, Ningekuoa Malaika. Nashindwa na mali sina, we, Ningekuoa Malaika. Kidege, hukuwaza kidege. Kidege, hukuwaza kidege. Nami nifanyeje, kijana mwenzio, Nashindwa na mali sina, we, Ningekuoa kidege. Nashindwa na mali sina, we, Ningekuoa kidege.

    





      Privacy Policy